01/06/2026
DAR, MBEZI: HII NYUMBA IPO LOCATION INAYOFAA SANA KWA BIASHARA YA KUPANGISHA
» Luguruni. Km 1.5 kutoka Morogoro Road (St Joseph University) na km 1 kutoka DSM Girls Sec School, pia jirani na ofisi za mkuu wa wilaya
» Vyumba 5 (masta 2); sitting 2; dinning; jiko; stoo na public w/c ya ndani na nje.
» uzio, yard ya maegesho, paving, maji ya Dawasa na kisima kirefu, mota na pampu ya maji, tenki 2 za maji ya akiba
» Inafaa kwa makazi binafsi, hosteli ya wanafunzi au kupangisha watumishi
» Kiwanja sqm 1082
» Hati ya wizara
» Bei TZS milioni 250
☎💬 +255-767-157788
🌐
🇹🇿