Faith Norah Lukosi

Faith Norah Lukosi Advocate of the High Court of Kenya
MAKADARA MP 2027
By Skill & Virtue We Shall Rise!


(2)

13/08/2026

Nimewasikia, na nitatimiza ahadi.
Asante sana kwa mapenzi yenu na kwa support mnayoendelea kunipatia, kina mama, kina baba, vijana na watoto, kutoka kila kona ya Makadara. Upendo wenu unanipa nguvu zaidi ya kuendelea kuwahudumia na kutetea maslahi yenu.
Mlale salama, watu wangu. Mungu awabariki na awalinde.

13/08/2026

Nimesikia ety "Nitawawosha Asubuhi" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kwani Fellow Kenyans hamuogi?

Good morning fellow Kenyans! Hii lineup iko mwecheche kabisa.Nani unataka aingie na nani apigwe sub? Who else do you pro...
13/08/2026

Good morning fellow Kenyans!
Hii lineup iko mwecheche kabisa.Nani unataka aingie na nani apigwe sub?
Who else do you propose to be on the lineup?

12/08/2026

By the way, who exactly is a goon? πŸ˜„ Wale bado tuko macho, tuendelee kuchangia kwenye mada ya leo.
I want to confirm something.

HOMA BAY ARE YOU Ready to welcome the 6th president of the Republic of Kenya H. E Edwin W. Sifuna and the entire Linda M...
12/08/2026

HOMA BAY ARE YOU Ready to welcome the 6th president of the Republic of Kenya H. E Edwin W. Sifuna and the entire Linda Mwananchi team?
Hii itakuwa mwecheche na nduru za kuaminika zinasema ya kwammba the bad girl honorable Millie Mabona will be joining the movement. Sema fireπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Wantam is constant.
SISI NDIO SIFUNA.




12/08/2026

Watu wangu wa Makadara nawapenda sana❀️

I may not have heavy pockets like my opponents but I promise that I'll always be there to listen to you, to walk with you and to represent you in the best way possible.

Nawaomba tuzidi pamoja na Mungu atuwezeshe.





Good morning from Makadara Constituency!Kuwakumbusha tu Sisi ndio Sifuna na mambo ni Wantam.Wish you a blessed day ahead...
12/08/2026

Good morning from Makadara Constituency!

Kuwakumbusha tu Sisi ndio Sifuna na mambo ni Wantam.

Wish you a blessed day ahead. Hustle ijipe na deals ziivane.



11/08/2026

Why do people change all of a sudden? Was that really Junet? πŸ€” What was your take-home?

11/08/2026

Weeuh! We don't have a country here.
Continue...

10/08/2026

Ni kitu gani ungependa kuniambia?fungua roho.
Niko free, let us engage.

Address

Renaissance Plaza
Nairobi
00200

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Faith Norah Lukosi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Faith Norah Lukosi:

Shortcuts

Share