Neema Updates

Neema Updates MOST TRUSTED ONLINE NEWS AGENCY FOR: BREAKING NEWS
TV UPDATES πŸ“
GOOSIPS
SHOWBIZ
TRENDING
LIFESTYLE
POLITICS & MORE Revolutionary leader
(4)

Cecilia, the girl who ran into the fire to safe her school sisters. and later died while rescuing others She managed to ...
29/05/2026

Cecilia, the girl who ran into the fire to safe her school sisters. and later died while rescuing others

She managed to direct quite a number out of the now opened door, until the fire behind her was too much to handle.

She chose to if its to die, die helping.

May her soul rest in peace.

ukipata k**a huyu unataka nini ingine
29/05/2026

ukipata k**a huyu unataka nini ingine

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ—π“π‡ πŒπ€π˜ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏Nura akienda sokoni,Mathew alimfuata akamuuliza k**a wataandamana? Nura akamwamb...
28/05/2026

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ—π“π‡ πŒπ€π˜ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏
Nura akienda sokoni,Mathew alimfuata akamuuliza k**a wataandamana? Nura akamwambia ndio ila watu wataongea wakituona. Mathew akamwambia wee achana na watu bna,ju hata wakisema watadu? Nura akamwambia wewe Mathew najua unaniambia tu nijihizi vizuri ila unajua mimi na wewe hatuendani mimi si type yako. Mathew akamwambia come,wewe ni kadem kapoa,kasupu,kakind so uko tu sawa usijali.

Tyrone ashapigia bank akawaambia kuna pesa yafaa achukue so he had to convince bank ndio watoe. Asha alikua hapo akamuuliza dad,pesa si ni zako mbona lazima uwaambia? Tyrone akamwamboa listen my daughter kazi sisi watu wa pesa huwa hivyo,so lazima tupeane sababu kwanza.

Punde si punde, Stano akamcall Tyrone,akamwambia mzae,ni ulete pesa na ukuje peke yako or else mambo yatakua mbaya. Saida alisikia,Sabina alikua hapo akasimia na Sabina akaambia Tyrone please,enda peke yako ju ukienda na mtu maisha ya Tinah yatakua in danger,please enda tu peke yako.

Stano na yeye ako na kibarua,atoke na Tinah kwa nyumba,aende na yeye hadi penye yafaa wakutane na akaambia Tinah sikiza,ni ucoperate or else utaona cha mtema kuni.

Tyrone akitaka kuondoka, Ray alifika. Saida akasema ju Ray amefika,acha aende na Ray. Ray akawauliza mnaongelea nini? Asha akasema wanaenda kupeleka pesa Tinah aachiliwe. Ray akaanza kucheka,akawaambia sikiza, Tinah hajakua kidnapped,ni script imechorwa tu hapa. Tyrone akamuuliza unamaanisha nini? Ray akawaambia sikiza,Tinah hajakua kidnapped,ni pesa za babake tu anangoja aendelee na sherehe. Sabina akaamka na hasira sana akamwambia wewe unajua uache ujinga? Ray akamwambia nyamaz,anaez ahata wapeleka penye Tinah ako.

Brayson aliamua kufunguka,akaambia Tyrone,sijasema ati Tinah anakutoka pesa,yeye hayuko hivyo,but kuna mtu anampush.Kisha Brayson akaangalia Sabina na kila mtu akaangalia Sabina hadi Sabina akawaambia wee mbona mnaniangalia mimi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Brayson alikua very cleat,akawaambia sikiza,Tinah hajakua kidnapped na ndio mjue Tyrone usipeane pesa uone venye huyo jamaa atajam.

Sabina aligeukia Brayson,akamwambia sikiza hizo plans zako na Saida haitawork. Saida akamuuliza wee,sasa naingilia wapi kwa maneno ya Brayson? Ebu unikome wewe mwanamke. Tyrone akaona hii drama ya wawili hataingulia,akaenda huyoo kwa room huko juu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sabina akamfuata huko juu.

Asha aliambia Brayson sikiza, usiogope,heri useme ukweli kuliko uumue kwa kujificha na k**a kuna ukweli ingine sema yote.

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟐
Tyrone alimcall Robert akamwambia guess what, Braysona mekua hapa akasema Tinah hakua kidnapped kuna mtu behind her pushing her to do things. Robert akamwambia huyo lazima ni mamake.

Punde si punde Sabina akafika akamwambia please Tyrone,usisikize maneno ya Brayson,fanya kitu tuokoe mtoto wangu hata k**a si mtoto wako. Tyrone akamwambia sasa sikiza, the only way ya kusaidia Tinah ni kutumia polisi ju ni wao ndio wanaeza saidia,si sisi.

Robert alikuja akaambia akina Kylian kuwa kuna information Tinah anaeza kuwa ameplot the kidnapping na naenda kwa Tyrone kuulizia what happened exactly. Robert wakaenda kuvaa ndio watoka,kumbe wakiwa kwa room Kefa aliingia akapata Kylian hapo.

Wacha sasa Robert wafike,wapate Kefa hapo,Robert alijam saba akamwambia ebu toka ama nikuitie polisi. Kylian akajaribu kuambia babake lakini wapi Robert alikataa. Kefa akawaambia hakuna shida, sitaki maneno acha niende.

Sabina alimcall Stano πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚akamwambia wee mambo yamechemka na Tyrone hakuji. Stano wakati ako kwa simu Tinah akaona ahepe ati na sasa kitu Stano hakupenda ni ati huenda Tyrone ameinvolve makarao. Kuona Tinah kanahepa alikapiga risasi huku akiwa kwa call na Sabina. Lakini Stano si mjinga hakumshoot,alipiga kando ya kumshtua tu πŸ˜‚πŸ˜‚

Stano alikuja akaambia Tinah ni twende haraka ju sina time ya kuwaste mimi. Yeah Tinah hakupigwa risasi kalishtuliwa tu.

Nura na Mathew wametoka sokoni na kumbe Mathew amebambika sana kutembea na Nura. Walifika kwa gate Mathew akamwambia Nura manze,umefanya hadi mind yangu yangu ikatulia na ju tumefika hapa itabidi tuact normal.

Kisha Mathew akamuita Nura akaamua kumpea kiss,Nura kumbe pia na yeye amejipa kwake akafunga macho kupewa kiss lakini si kiss,ni kakitu alikua anamtoa kwa macho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚punde si punde,akina Kylia wakafika na Kylian akajionea yeye mwenywe na macho yake Mathew akijaribu kumkiss Nura lakini haikua kiss,alikua anatoa kitu kwa macho ya Nura πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Stano after kuona deal imekatika,alimrudisha Tinah kwa nyumba,kwanza alikababe na already ashaambia Sabina anakuja.

Tinah kaliletwa kakalalishwa kwa kitanda yake kawaida.

Punde si punde, Stano akamcall Brayson,akamuuliza mbona Sabina amenicall akasema umeambia Tyrone usilete pesa? Brayson akamwambia usijali,plan bado iko acha nitakucall baadaye nikuambie plan B. Punde si punde, Sabina ashafika kwa Stano,anataka kumuona Tinah,na hataki mchezo.

Kwani Brayson anacheza game gani? Tutajua kesho.

KMPDU rejects planned US-Kenya Ebola quarantine centre, SG Devji Atellah warns of nationwide strike if government fails ...
28/05/2026

KMPDU rejects planned US-Kenya Ebola quarantine centre, SG Devji Atellah warns of nationwide strike if government fails to make the deal public within 48 hours.

k**a umeamka salama ambia Mungu Asante
28/05/2026

k**a umeamka salama ambia Mungu Asante

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ–π“π‡ πŒπ€π˜ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏Mathew alikuja akauliza Asha,huyu Brayson wako rada yake ni gani? Asha akamuuliz...
27/05/2026

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ–π“π‡ πŒπ€π˜ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏
Mathew alikuja akauliza Asha,huyu Brayson wako rada yake ni gani? Asha akamuuliza amefanya nini? Mathew akamuuliza mbona atuambie Tinah ako sherehe na tena tunapigiwa simu Tinah ako na kidnappers? Asha akamwambia pia ako confused...Mathew akamuuliza,uko sure hakuna kitu unanificha,and what if Brayson ako behind this? Asha akamwambia then nitahakikisha anaozea jela.

Tyrone na yeye alikuja akaambia Sabina sikiza,naelewa situation yako but I cant afford kupoteza pesa zingine na ndio maana inabidi tutumie polisi. Sabina akamwambia k**a ni hiyo then acha mwenyewe nijue venye nafanya. Tyrone akamwambia its ok, I will what to do na kesho lets get Tinah back. Sisi tunajua Sabina anataka watumie pesa ju hizo pesa ndio anazitaka lakini mchawi kitu hajui ni, hizo hizo hizo pesa ndio Brayson anazitaka 🀣🀣🀣

Sabina after kuona Tyrone amekubali,akamcall Stano,akamwambia sikiza,Tyrone ako game,kesho pesa zinakuja and make no mistakes na nataka pesa zangu in full. Pesa gani na hizo pesa Stano yafaa ampee Brayson na nilishawaambia,the reason Ray anazichukua zile pesa kutumia Stano ni ju Stano alimgonga ile siku na akakidnap Tinah.

Nura alikuja kwa Saida na umbea akamwambia guess what,leo Mathew amejiteleza ju alisema Sabina ako na everything under control shida tu hakusema ni nini hicho but Saida ashajua there is something going on.

Nura akienda kulala aliamua kuchungulia kuona Mathew ako hali gani kwa room ya Tinah. Alimpata mwanaume ametulia hapo akaingia kumjulia hali. Kumbe Asha alimuona Nura akiingia hapo penye Mathew ako 🀣🀣🀣na Asha amekua akimshuku sana Nura.

Mathew aliambia Nura hafeel kulala hapa ju kwa room ya Tinah inamkumbusha everything. Nura akamwambia usiwe na wasiwasi,naeza lala hapa kisha wewe uende ulale kwa room yangu bora tu Kylian asijue. Mathew alisema hiyo ni afadhali. Hii yote Nura anataka ukaribu na Mathew si ati anamtaka,anataka information🀣🀣🀣

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟐
Siku iliyofuata,Kylian aliamshwa ngware,mapema aende anunue mkate alete wakunywe chai. Kylian akienda sokoni,alikutana na Kefa. Kefa alimwambia sikiza,I have some infor na najua penye ako. Kylian akamwambia usijali tushaambiwa na tunajua ako Naivasha lakini Kefa akamwambia sikiza son, mlidanganywa Tinah bado ako na kidnappers na najua penye ako shida tu ni babako ananitumia makarao kunifuata fuata.

Sasa kwa mansion cheki venye mambo yalikua, Asha aliamka akakuja kitchen akamkosa Nura,akaona akuje kwa room yake kumuita lakini kufika kwa room ya Nura akapata ndio Nura amekuja kwa room yake kumuamsha Mathew ju Nura alilala kwa Tinah,Mathew akalala huku na Asha hajui hilo 🀣🀣wacha aingie apate kwanza ndio Mathew anaamka na Nura amesimama hapo,alishtuka akawauliza,yani nyinyi mnafanyia tabia mbaya kwa nyumba ya babangu? Nura akamwambia noo,Mathew alilala huku na mimi nililala kwa Tinah. Punde si punde, Saida pia akafika,🀣🀣🀣hapa sasa Mathew anajitetea aje 🀣🀣ni kweli sisi tunajua ukweli hakuna tabia mbaya wamefanya,na hawakulala pamoja lakini akina Asha? You cant convince them 🀣🀣

Asha alikuja akauliza mamake wee huoni hii story ya Nura haimake sense,huoni walikulana? Saida akamwambia apana,najua Nura anajiweka ukaribu na Mathew ju kuna information tunataka kupata kwa Sabina kutumia Mathew. Asha akauliza mamake,mbona unaingiza Nura kwa vita zako? Mamake akamwambia ni kwa sababu ananiamini,wewe ushachose kuwa side ya Sabina so heri niwork na Nura at least ananiamini.

Ilibidi Asha aje kumuomba Nura msamaha ju sasa ashajua ukweli si ati walilala na Mathew, walibadilishana rooms.

Kefa as he told Kylian ashajua penye Tinah ako na wakati anakuja akamuona Ray na Stano wanaongea. Ray aliambia Stano sikiza, Tinah apelekwe na zile pesa upewe na ukipewa uniletee after 1hr. Stano hana habari Kefa ako rada yake.

Stano aliletea Tinah nguo na akamfungua hadi Tinah akamuuliza wee,kwani unaniachilia? Stano akamwambia yeah,naenda kuchukua pesa kwa babako na ukibehave leo unalala kwenu kwa bed yako....lakini kiiidogo hivi,kumbe wakati Stano aliingia kwa nyumba hakufunga mlango na tuliona Kefa alikua ashafika...kiiidogo hivi, eeh! Kipindi ikaishia hapo,tukutane kesho wakuu.

Gen z activist Mr speaker  appears  to public
27/05/2026

Gen z activist Mr speaker appears to public

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ•π“π‡ πŒπ€π˜ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏Stano akidhani ni jokes, punde si punde,alipatwa na Sabina. Sabina amejam kwanza...
26/05/2026

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ•π“π‡ πŒπ€π˜ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏
Stano akidhani ni jokes, punde si punde,alipatwa na Sabina. Sabina amejam kwanza akachukua kisu akamuekea Stano kwa tumbo akamwambia kijana sikiza,pesa zangu ama nikukate matumbo nikumalize. Stano alimwambia I swear hakuna pesa niko nazo. Sikiza,sisi tunajua ni Stano alichukua pesa akampea Brayson but ikawa Sabina asiambiwe. Stano aliambia Sabina sikiza,lazima kuna mtu alijua Tyrone ako na pesa. Hapo na hapo, Sabina akamshuku nani? Robert🀣🀣🀣

Robert amekuja na Kylian kazini,huku Kylian anamuuliza,dad kwani Tinah sister yangu alikua anadate bwana ya sister yako? Robert akamwambia yeah but thats past for now achana nayo.

Sasa Sabina akaambia Stano sikiza, pigia Tyrone umwambia alete pesa zingina na sasa nataka uitishe mita tano usiseme 2 million. Stano akashtuka,akamuuliza elfu tano wajameni hauna huruma? Sabina akamwambia huruma ni estate nataka pesa zangu na uitishe haraka upesi. Sikiza,hii ni kitu Stano haezi jaribu ju yeye anajua aliongea na Tyrone na akaambia Tyrone mwenye amechukua pesa ni boys wake,ataanzia wapi sasa🀣🀣🀣🀣kumbe wakati anaekwa kisu kwa tumbo,alikatwa. Sabina ni mnyama wasee.

Annaliza na Robert bado wanajiuliza,itakuaje Tinah ati ako Naivasha. Robert akamwambia wee hujui Tinah ama hata anafanya hivi just to purnish Brayson kwa chenye alifanyia Mathew. Lakini Annaliza akamuuliza if thats the case that means Mathew pia ako involved na yafaa mjue what he gains by being present kwa mansion hadi Annaliza anauliza Robert,ukiangalia Mathew anakaa ama hakai mtu anaeza pull such game? Robert akamwambia so far Mathew hajawai nipea negative energey,anakaanga tu kafala kahumble humble hivi hivi.Hii yote wanajaribu kuona if Mathew was involved.

Punde si punde, Robert na Annaliza wakiwa hapo ndani,nani alifika? Sabina,na hata hakubisha. Annaliza akamuulza excuse you,tabia zako ziko wapi? Sabina akamwambia excuse you,excuse us nataka kuongea na bwanako....Sabina alienda straight to the point,akauliza Robert where is the two million? Robert akamuuliza million ngapi? Sabina akamwambia zenye uliibia Tyrone jana. Robert akamwambia huwa nasikia unakuanga wazimu kweli wewe ni wazimu. Sabina akamwambia sikiza Mr Conman,najua ni wewe uliplan kuchukua zile pesa. Robert akamwambia naona wivu imefika kwa kichwa,na ikienda hivi utaruka kichwa,k**a hii ni njia ya kusubbotage wedding yetu,sahau na ukidhani nasema uong enda sikiza wimbo wa Bien, Finale,ju utatii🀣🀣🀣

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟐
Baadaye majioni jioni,Brayson alikuja kwa Stano kuchukua zile pesa,na akapea Stano kiasi akamwambia basi tushakafunga lakini Stano akamwambia imagine Sabina tena anataka tutumie mtoto wake tuitishe pesa zingine. Brayson akamuuliza ngapi? Stano akamwambia mita tano. Braysone akamwambia k**a kawaida usinilet down. Kwani Brayson anapanga nini? Tutakuja kujua 🀣🀣

Kumbe Robert ashaambia Tyrone venye Sabina amemuambia ati ni yeye aliwacon hapa. Sabina kufika nyumbani,Tyrone amemngoja hapo akamuuliza, wee mwanamke kichwa chako kina akili kweli? Sabina akamuuliza kwani nimekosa nini? Tyrone akamuuliza mbona uliambia Robert yeye ndio aliiba pesa. Sabina akamwambia ju alijaribu kutuibia. Punde si punde, Stano akamcall akamwambia sikzia mzee, ulijaribu kujifanya mjanja jana,sasa sai nataka 5 million si 2 million tena. Stano akapea Tinah simu akaongea an babake akamwambia dad,huyu gaidi atanimaliza,please nisaidie. Tyrone sasa akawai confused, Brayson alisema Tinah alo Naivasha hata akaonyeshana video, sai Tinah ako kwa kidnappers,kwani kunaendaje? Tyrone is now confused.

Wakati Stano anaongea na Tyrone, Brayson alikua hapo na sasa wacha niwaambia kwa nini Brayson anachukua pesa kutumia Stano,ni kwa sababu ile siku Stano alimgonga Brayson vibaya sana sasa Stano badala ashughulikiwe na Brayson videadly ameamua kumfanyia kazi ya kumletea pesa 🀣🀣🀣🀣na tena ile mita tano Brayson anataka cut yake clean 🀣🀣

Yule beshte wa Stano alikuja kwa bar akaanza kujisifu kwa yule beshte mwingine akamwambia guess what,Stano aliwai dem wa bazu fulani akaitisha ramson. Kumbe wakiongea hivyo, Kefa alikua hapo pia anakunywa 🀣🀣🀣akaona the only way anaeza pata hii habari aakuje akae nao hapo akawambia maboys hii pombe yote nalipa mimi,twendelee a story. Maboys mafala wakaropoka kila kitu bia wao kujua Kefa ako rada yao..mako! Makosa 🀣🀣🀣🀣

26/05/2026
God of second chance. This child  below  buried alive the face was not covered.The child has been rushed to hospital for...
26/05/2026

God of second chance. This child below buried alive the face was not covered.

The child has been rushed to hospital for urgent medical attention.

The child is alive and responding to treatment positively

26/05/2026

Man beaten by Hungry youths after trying to steal a phone from a protester

Address

Nairobi

Telephone

+254110066385

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Neema Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Neema Updates:

Share