29/03/2026
By the way leo nimeshtuka sanaa ,yaani Mungu aliamua kushuka Kwa fire hadi watu karibu watoroke ,mahema zikaanguka chini ,na mvua prophet owuor alikuwa amesema awali itanyesha ikanyesha waaaaah ,kile kimafañyika Ivory coast kwa hakika Yesu ako njiani ,kazi kwako ,ishi kwa toba na uhaki,
Asante