05/03/2026
This is another kind of nonsense, you've no to ntertain in ur dowry payment day.
Now look here,
Mwanaume akienda kutoa dowry Kwa kina msichana, mwanaume diye husimamia kila kitu hiyo siku pale kwa kina msichana.
Budget yote ni ya mwanaume.
Tents, viti zote, utensils, food, fruits, drinks, soda ..yaani kila kitu hutumika Kwa hiyo sherehe ni pesa ya mwanaume.
On top of that, weka dowry money now into cash money.
Now Listen here,
Kuna trick mbili wamama ili wakule* mwanaume pësa hiyo siku ya dowry.
1. mkifika hivi, wanafunga gata ya kina msichana na kufuli.
Wanasema eti kifunguo imepotea.
sasa mnakaa Kwa barabara na sherehe ni yetu..na ni kijana wenu amesimamia kila kitu.
pia yeye akae huko mbali Kwa barabara.
Na k**a mnatakakuingia huko,
lazima mtoe pesa not less than 10k cash.
Nani anatoa hizo pesa? Ni huyo kijana wenu.
2. Mkiwa pale Kwa tent, mnetewa wanawake wengi wamefungwa na Leo ata Kwa kichwa, wamevalia socks, viatu funny, makofia
eti mwanaume asimame achague bibi yake hapo. Na akikosea, fine ni 5K cash.
akikosea mara kumi , 50k zimekunywa maji.
nani anatoa hizo pesa? Ni kijana wenu.
Now ile kitu funny, hizo pesa zote including za pale Kwa gate sio za wazazi wa msichana..
Noo hizo pesa hugawanwa na wamama wote wa hiyo Kijiji ya kina msichana.
kila mmama 500 au 1k accordingly.
Na usisahau kuna unga za chapati za wamama, lezo za wamama, soda za wamama
Na ni in terms of money.
Na hizo pesa zote hugawanwa na wamama wa Kijiji.
Na nani atatoa hizo pesa? Ni kijana wenu.
Na usisahau hamjaingia Kwa nyumba na wazee kufanya dowry negotiation.
Kuna wanāwake huona hii kitu as if ni entertainment but utaamini ni serious issue na huwa inauma mwanaume ile siku atakuja kukutolea dowry afanyiwe hivo...
Pale kwa gate atoe 20k
Soda za wamama,na maleso na unga za Chapo atoe 30K
Then aletewe wanawake wamefunikwa na maleso na wewe pia uko hapo,, atoe 100k cash
Zote ni 150K zimeeda hivo.
Na hizo pesa alikuwa amechukua loan ili akutolee dowry...
Following
Yaani ni wewe unatolewa dowry