Joctan tz

Joctan tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Joctan tz, Legal, stevenjoctan5@gmail. com, Dodoma.

Geita Gold Wamemrejesha Tena Suleiman Matola Ambaye Kwa Sasa Ni Kocha Msaidizi Wa SimbaNdoa Ya Suleiman Matola Na Simba ...
29/05/2026

Geita Gold Wamemrejesha Tena Suleiman Matola Ambaye Kwa Sasa Ni Kocha Msaidizi Wa Simba

Ndoa Ya Suleiman Matola Na Simba inafikia tamati Mwishoni Mwa Msimu Huu

Simba Na Matola Wamefikia Makubaliano Ya Kutoendelea Kwa Msimu Ujao Huku Taratibu Za Kumpatia Kazi Matola Zikiwa Zimekamilika

Matola Amewahi Kuifundisha Geita Gold Miaka Ya Nyuma Na Sasa Anarejea Kwa Mara Nyingine

29/05/2026

πŸš¨π™π™π˜Όπ™‰π™Žπ™π™€π™ π™‰π™€π™’π™Ž: SIMBA YAMUWANIA MAX NZENGELI? πŸ‘€πŸ”΄

Taarifa zinadai kuwa uongozi wa klabu ya Simba SC unaangalia uwezekano wa kuanza mazungumzo na wasimamizi wa kiungo mshambuliaji Max Nzengeli kwa ajili ya usajili wa msimu ujao wa mashindano.

Inaelezwa kuwa Simba imevutiwa na uwezo wa nyota huyo kutokana na ubora wake wa kutengeneza nafasi, kasi yake akiwa na mpira pamoja na uwezo wa kucheza maeneo tofauti ya ushambuliaji.

Hata hivyo, bado hakuna makubaliano rasmi yaliyofikiwa mpaka sasa huku taarifa zikisema hatua za awali za mawasiliano ndizo zinafikiria kuanza muda wowote kuanzia sasa.

Endapo dili hilo litakamilika, Max Nzengeli anaweza kuwa mmoja wa usajili mkubwa wa Simba kuelekea msimu mpya. πŸ”₯πŸ’

Follow Kitenge Latest Uwanja Wa Maoni Uko Wazi βš½πŸ†

CCC 17 βšͺπŸ”΄
29/05/2026

CCC 17 βšͺπŸ”΄

Address

Stevenjoctan5@gmail. Com
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joctan tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category