Advocate Bashir Yakub

Advocate Bashir Yakub Advocate Of The High Court Of Tanzania
+255 714 047 241
Based In Dar Es Salaam.

09/06/2026

Vikundi Vya Michezo Ya Kuchangiana Hela Havina Mamlaka Ya Kuwash*taki Wadeni Wake.

31/05/2026

Ukimsaidia Mtu Aliyepoteza Fahamu Mfano Ajali Au Aliyepata Uchizi, Akipata Nafuu Anatakiwa Kukulipa, Ikiwa Atafariki Warithi Wake Wanatakiwa Kukulipa.

24/05/2026

Mahak**ani Hakuna Siri Fanyeni Suluhu Kuepuka Aibu,Usumbufu na Gharama.

23/05/2026

Anayekutwa Na Mali Ya Wizi Ndiye Anahesabika Mwizi wa Mali Hiyo..

23/05/2026

Uvamizi Wa Ardhi ni Pamoja na Miti ya Jiran Kuning'inia Kwenye Kiwanja Chako..

10/05/2026

Mwenye Nyumba/Eneo Anaruhusiwa Kubomoa Ikiwa Mpangaji Hajalipa Kodi.

21/04/2026

Kwa Mtaji Wa Elfu 20 Tu Unaweza Kumiliki Kampuni Je Walijua Hilo.

17/04/2026

Kutomtumza Mzazi Ni Sababu Ambayo Mzazi Anaruhusiwa Kumnyima Mtoto Wake Urithi.

29/03/2026

Je Wajua Kuwa Ukiwa Kituo Cha Polisi Hairuhusiwi Kuhojiwa Zaidi ya Masaa Manne. Na muda Huo Ukizidishwa Bila Sababu Za Msingi Unaruhusiwa Kumfungulia Shauri Na Kumdai Fidia Huyo Askari Aliyezidisha Mda.

24/03/2026

Mke Anahesabika Hana Hatia Hata k**a aliua, Ikiwa Alitenda Kosa Hilo Kwa Kulazimishwa na Mme Wake.

Address

11000
Dar Es Salaam
11000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Advocate Bashir Yakub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share